\v 15 Mwanangu, kama moyo wako una busara, basi moyo wangu utafurahi pia; \v 16 sehemu zangu ndani kabisa zitafurahi sana midomo yako inaponena haki.