\v 26 Usiwe miongoni mwao wapigao mikono, mwenye kuahidi madeni. \v 27 Kama umekosa njia za kulipa, nini kitaweza kuzuia mtu kuchukua kitanda chako chini yako?