\v 20 Sijakuandikia wewe misemo thelathini ya mafundisho na maarifa, \v 21 kwa kukufundisha kweli katika maneno haya yenye uaminifu, ili uwe na majibu yenye kutegemewa kwa waliokutuma?