\v 7 Watu matajiri huwatawala watu masikini na mwenye kukopa ni mtumwa wa yule anayekopesha. \v 8 Yule anayepanda udhalimu atavuna taabu na fimbo ya hasira yake itanyauka.