\v 19 Mmbea hufunua siri na kwa hiyo hupaswi kushirikiana na watu ambao huongea sana. \v 20 Kama mtu atamlaani baba yake au mama yake, taa yake itapulizwa katikati ya giza.