\v 3 Upuuzi wa mtu unaharibu maisha yake na moyo wake hughadhabika dhidi ya Yehova. \v 4 Utajiri huongeza marafiki wengi, bali mtu masikini hutengwa na rafiki zake.