\v 17 Wa kwanza kujitetea katika shitaka lake huonekana kuwa na haki hadi mpinzani wake aje na kumuuliza maswali. \v 18 Kupiga kura kunamaliza mabishano na kuwatawanya wapinzani imara.