sw_pro_text_reg/17/15.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 15 Yeye ambaye huwaachilia watu waovu au kuwalaumu wale wanaotenda haki watu hawa wote ni chukizo kwa Yehova. \v 16 Kwa nini mpumbavu alipe fedha kwa kujifunza hekima, wakati hana uwezo wa kujifunza?