\v 13 Mtu anaporudisha mabaya badala ya mema, mabaya hayatatoka katika nyumba yake. \v 14 Mwanzo wa mafarakano ni kama mtu anayefungulia maji kila mahali, hivyo ondoka kwenye mabishano kabla ya kutokea.