sw_pro_text_reg/15/19.txt

1 line
216 B
Plaintext

\v 19 Mapito ya mtu goigoi ni kama sehemu yenye uzio wa miiba, bali mapito ya mtu mwadilifu ni njia kuu iliyojengwa imara. \v 20 Mwana mwenye busara huleta furaha kwa baba yake, bali mtu mpumbavu humdharau mama yake.