\v 15 Siku zote za watu waliokandamizwa ni taabu, bali moyo wenye furaha unakaramu daima. \v 16 Bora kitu kidogo pamoja na kumcha Mungu kuliko hazina kubwa pamoja na ghasia.