\v 13 Moyo wenye furaha husababisha uchangamfu wa uso, bali huzuni huvunja moyo. \v 14 Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, bali kinywa cha wapumbavu hujilisha kwenye upuuzi.