\v 30 Wale watendao haki watakuwa kama mti wa uzima, lakini vurugu huondoa uzima. \v 31 Tazama! Ikiwa wale watendao haki hupokea wanachositahili, je si zaidi kwa waovu na wenye dhambi!