\v 25 Mtu mkarimu atafanikiwa na yule awapaye maji wengine atapata maji yake mwenyewe. \v 26 Watu wanamlaani mtu ambaye hukataa kuuza nafaka, bali zawadi njema hufunika kichwa chake ambaye huuza nafaka.