\v 15 Anayemdhamini mkopo wa mgeni ataumia kwa usumbufu, bali anayechukia kutoa rehani kwa namna ya ahadi yupo salama. \v 16 Mwanamke mwenye rehema hupata heshima, bali watu wakorofi hufumbata utajiri.