1 line
302 B
Plaintext
1 line
302 B
Plaintext
\v 1 Mithali za Sulemani. Mwana mwenye hekima humfurahisha baba yake lakini mwana mpumbavu huleta majonzi kwa mama yake. \v 2 Hazina zilizolimbikizwa kwa uovu hakosa thamani, bali kwa kutenda haki hujilinda mbali na kifo. \v 3 Yehova hawaachi wale watendao haki wapate njaa, bali hamu ya waovu huizuia. |