\v 4 Mwambie hekima, "wewe ni dada yangu," na ufahamu mwite jamaa yako, \v 5 ili ujitunze mwenyewe dhidi ya mwanamke malaya, dhidi ya mwanamke mgeni mwenye maneno laini.