sw_pro_text_reg/04/18.txt

1 line
206 B
Plaintext

\v 18 Bali njia ya mwenye kutenda haki ni kama mwanga ung'aao, huangaza zaidi na zaidi hadi mchana inapowasili kwa ukamilifu. \v 19 Njia ya waovu ni kama giza hawajui ni kitu gani huwa wanajikwaa juu yake.