\v 3 Usiache utiifu wa agano na uaminifu viondoke kwako, vifunge katika shingo yako, viandike katika vibao vya moyo wako. \v 4 Ndipo utapata kibali na heshima mbele Mungu na wanadamu.