\v 15 Mwanangu, usitembee katika njia moja pamoja nao; usiruhusu mguu wako kugusa katika mapito yao; \v 16 miguu yao hukimbilia mabaya na huharakisha kumwaga damu. \v 17 Kwa kuwa haina maana kumtegea ndege mtego wakati ndege anaona.