\v 5 Kila neno la Mungu limejaribiwa, yeye ni ngao kwa wale wanaokimbilia kwake. \v 6 Usiyaongezee maneno haya, au atakukemea, na utathibitishwa kuwa mwongo.