\v 3 Mwenye kupenda hekima baba yake anafurahi, bali anayeshikamana na makahaba huuharibu utajiri wake. \v 4 Mfalme huimarisha nchi kwa haki, bali mwenye kudai rushwa huirarua.