\v 5 Si vema kuwa na upendeleo kwa mwovu, wala haifai kukana haki kwa wale watendao mema. \v 6 Midomo ya mpumbavu huletea mafarakano na kinywa chake hukaribisha mapigo.