\v 17 Asemaye ukweli huongea ilivyo haki, bali shahidi wa uongo huongea uongo. \v 18 Maneno yake asemaye kwa pupa ni kama kurusha upanga, bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji.