\v 8 Wale wenye akili hukubali maagiza, bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataangamia. \v 9 Yeye anayetembea katika uadilifu hutembea katika usalama, bali yule anayepotosha njia zake, ataonekana.