\v 28 Usiondoe jiwe la mpaka la wahenga ambalo baba zako wameweka. \v 29 Je umemwona mtu aliyeuwawa kwenye kazi yake? Atasimama mbele ya wafalme; hatasimama mbele ya watu wa kawaida.