\v 8 Maneno ya kinywa changu yote ni haki; hakuna kilichogeuzwa wala kupotoshwa. \v 9 Maneno yangu yote yamenyooka kwa yule mwenye kuelewa; maneno yangu ni haki kwa wale wanaotafuta maarifa.