\v 17 Mkate uliopatikana kwa ulaghai unaladha tamu, lakini baadaye kinywa chake kitajaa kokoto. \v 18 Mipango huimarishwa kwa ushauri na kwa mwongozo wa busara utapigana vita.