\v 23 Anayelinda kinywa chake na ulimi wake hujilinda mwenyewe na taabu. \v 24 Mtu mwenye kiburi na maringo " Dhihaka" ndilo jina lake hutenda kwa majivuno na kujidai.