\v 27 Nzige hawana mfalme, lakini wote wanamwendo wa mpangilio. \v 28 Kama mjusi, unaweza kumkunja kwa mikono yako miwili, lakini wanapatikana katika majumba ya wafalme.