\v 9 Mtu mwenye busara anapojadiliana na mpumbavu, hughadhabika na kucheka, hakutakuwa na utulivu. \v 10 Mkatili humchukia mwenye ukamilifu na hutafuta maisha ya mwenye haki.