\v 5 Ni bora karipio la wazi kuliko upendo uliofichwa. \v 6 Mwaminifu ni jeraha zilizosababishwa na rafiki, lakini adui anaweza kukubusu kwa kuomba radhi mno.