\v 3 Kutenda haki na adili hukubaliwa zaidi na Yehova kuliko sadaka. \v 4 Macho ya kiburi na moyo wa majivuno taa ya waovu ni dhambi.