\v 21 Mzazi wa mpumbavu huleta majonzi kwake mwenyewe; baba wa mpumbavu hana furaha. \v 22 Moyo mchangamfu ni dawa njema, bali roho iliyopondeka hukausha mifupa.