\v 25 Kuna njia ambayo huonekana sawa kwa mtu, bali mwisho wake ni njia ya mauti. \v 26 Hamu ya kibarua humfanyia kazi; njaa yake humsihi kuendelea.