\v 11 Nyumba ya waovu itaangamizwa, bali hema ya watu waaminifu itasitawi. \v 12 Kuna njia ambayo huonekana sawa kwa mtu, lakini mwisho wake huelekea mauti tu.