\v 17 Mjumbe mbaya huangukia kwenye shida, bali balozi mwaminifu huleta upatanisho. \v 18 Yeye ambaye hupuuza kurudiwa atapata umasikini na aibu, bali heshima itamjia yeye ambaye hujifunza kutokana na masahihisho.