\v 15 Njia ya mpumbavu ni sawa machoni pake mwenyewe, bali mtu wa hekima husikiliza ushauri. \v 16 Mpumbavu huonyesha hasira yake papo hapo, bali asiyejali tusi ni mwenye busara.