\v 18 Yeye afichaye chuki ana midomo ya uongo, na yeye anayesambaza kashfa ni mpumbavu. \v 19 Katika maneno mengi, hapakosi uhalifu, bali aliyemwangalifu katika usemi wake ni mwenye busara.