\v 34 Maana wivu humghadhibisha mtu; hatakuwa na huruma wakati wa kulipa kisasi chake. \v 35 Ujapompa zawadi nyingi, hatakubali mbadala wa kusuruhishwa wala kulipwa.