\v 4 Usiruhusu usingizi katika macho yako wala kope za macho yako kusinzia. \v 5 Jiokoe mwenyewe kama swala kutoka katika mkono wa mwindaji, kama ndege kutoka katika mkono wa mwinda ndege.