\v 23 Ndipo utatembea katika njia yako kwa usalama na mguu wako hautajikwaa; \v 24 ulalapo hutaogopa; utakapolala, usingizi wako utakuwa mtamu.