\v 1 Mwanangu, kama ukiyapokea maneno yangu na kuzitunza amri zangu, \v 2 usikilize hekima na utaelekeza moyo wako katika ufahamu.