Wed Dec 07 2022 15:02:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-07 15:02:26 +03:00
parent 7782bbf83f
commit e085a38fde
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 32 Na sasa, wanangu, nisikilizeni, maana wale wazishikao njia zangu watakuwa na furaha. \v 33 Sikilizeni fundisho langu na mpate hekima; wala msilipuuze. \v 34 Anisikilizaye atakuwa na furaha- kila siku akitazama katika malango yangu, akinisubiri pembeni mwa milango ya masikani yangu.
\v 32 Na sasa, wanangu, nisikilizeni, maana wale wazishikao njia zangu watakuwa na furaha. \v 33 Sikilizeni fundisho langu na mpate hekima; wala msilipuuze. \v 34 Anisikilizaye atakuwa na furaha kila siku akitazama katika malango yangu, akinisubiri pembeni mwa milango ya masikani yangu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Amewatuma watumishi wake kupeleka mialiko na kutoka mahali pa juu sana kwenye mji anaita: \v 4 "Wale wasiofunzwa waje hapa!" anawaambia wale wasionaufahamu.
\v 3 Amewatuma watumishi wake kupeleka mialiko na kutoka mahali pa juu sana kwenye mji anaita: \v 4 "Wale wasiofunzwa waje hapa!" anawaambia wale wasio na ufahamu.

1
09/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Mithali 9