Wed Dec 07 2022 12:58:12 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
432437ac55
commit
40e85867c3
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 4 Mithali hizi zinatoa hekima kwa wale ambao hawakufunzwa, na kuwapa vijana maarifa na hadhari. \v 5 Watu wenye busara wasikie na kuongeza elimu yao na watu wenye ufahamu wapate mwongozo, \v 6 kwa kuelewa mithali, misemo, vitendawili na maneno ya wenye busara.
|
||||
\v 4 Mithali hizi zinatoa hekima kwa wale ambao hawakufunzwa, na kuwapa vijana maarifa na tahadhari. \v 5 Watu wenye busara wasikie na kuongeza elimu yao na watu wenye ufahamu wapate mwongozo, \v 6 kwa kuelewa mithali, misemo, vitendawili na maneno ya wenye busara.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 7 Hofu ya Yehova ni chanzo cha maarifa- wapumbavu hudharau hekima na nidhamu. \v 8 Mwanangu, sikia fundisho la baba yako na wala usiziache kanuni za mama yako; \v 9 zitakuwa kilemba cha neema katika kichwa chako na jebu zinazoning'inia kwenye shingo yako.
|
||||
\v 7 Hofu ya Yehova ni chanzo cha maarifa wapumbavu hudharau hekima na nidhamu. \v 8 Mwanangu, sikia fundisho la baba yako na wala usiziache kanuni za mama yako; \v 9 zitakuwa kilemba cha neema katika kichwa chako na jebu zinazoning'inia kwenye shingo yako.
|
|
@ -39,6 +39,7 @@
|
|||
"front-title",
|
||||
"01-title",
|
||||
"01-01",
|
||||
"01-04",
|
||||
"19-title",
|
||||
"19-01",
|
||||
"19-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue