1 line
201 B
Plaintext
1 line
201 B
Plaintext
|
\v 18 Kuna vitu vitatu ambavyo vinanishangaza, vinne ambavyo sivifahamu: \v 19 njia ya tai angani; njia ya nyoka juu ya mwamba; njia ya meli kwenye moyo wa bahari; na njia ya mtu pamoja mwanake kijana.
|