1 line
149 B
Plaintext
1 line
149 B
Plaintext
|
\v 7 Vurugu ya waovu itawaburuta mbali, maana wanakataa kutenda haki. \v 8 Njia ya mwenye hatia ni ukatiri, bali mwenye usafi hutenda yaliyo ya haki.
|