sw_pro_text_reg/15/09.txt

1 line
192 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 9 Yehova anachukia njia ya watu waovu, bali anampenda yule ambaye huandama haki. \v 10 Marudi ya ukatili hungojea kwa yeyote ambaye huiacha njia na yule ambaye huchukia masahihisho atakufa.