sw_pro_text_reg/16/19.txt

1 line
202 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 19 Ni bora kunyenyekea miongoni mwa watu masikini kuliko kugawana ngawira pamoja watu wenye kiburi. \v 20 Mwenye kutafakari yaliyofundishwa hupata kilicho chema na wenye kumtumaini Yehova watafurahi.