1 line
179 B
Plaintext
1 line
179 B
Plaintext
|
\v 9 Mwenye jicho la ukarimu atabarikiwa, maana anashiriki mkate wake pamoja na masikini. \v 10 Mfukuze mbali mwenye dhihaka, na ugomvi utaondoka, mashindano na matukano yatakoma.
|